Listen to Mita (feat. MR. LU* & Maasai) by Xprso.

Mita (feat. MR. LU* & Maasai)

Xprso.

Hip-Hop/Rap

92 Shazams

Lyrics

Staki kuskia story za Geng Geng Na ka haina ganji hatuwezi hang hang By now nafaa kuwa na Lamborghini Wanna take the Mrs from South B, to Santorini Mafia XPRSO mafia Salmon over lobster, hata hatukuli tilapia Nilienda lowkey, nikarudi slightly cockier Since nipate sauce, akili imekuwa sloppier Yeah Mafia music, kali sana Hii ni ya mitaa zote shout out Pangani massive, Ngara massive Shout out Lukorito for the inspo Nilianza kuchoma shash, nikaacha kuchoma picha Kukimbiza maretweets na likes huko twitter Kuingia maDM nikiombana mafeature Nilighostiwa, nami nikaghostika Saa hii sidai form kaa si story ya mamita Sidai hio bash kama hakuna mamasitas Wika, wika Xprso wako area watu wanababaika Yeah Xprso wako wangapi, wako watano ama wasita Wacha tupige hesabu usiwahi hangaika Baby, Kev, Lukorito, MR. LU*, RVMP, Mars, Tg Au vipi, ata labda ni wasaba Tunawafikisha cloud saba Hadi usiku wa manane Tuonane kesho saa tisa
Writer(s): Luther Kilolo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out