Lyrics

Sura yako inaonesha ishara ya furaha na faraja pia Lakini ni dhairi kuwa ukifika kwako machozi ukutoka Niliyofanya bila wewe kugundua ni mengi pia Sijayaweka wazi kusudio kuulinda moyo wako Na ndio maana tuligombana juu ya love bite shingoni Nilichora tatoo ya jina lako mkononi hivi sasa huioni Nawazaaa jinsi ya kukueleza Nakosaaaa nguvu ya kukueleza Nashindwaa jinsi ya kusemaaaa Umejaribu kutetea penzi Mahala ambapo Hakuna penzi Nawazaaa, nikupe penzi gani kwa moyo wangu Nimebadilika, nimebadilika Sitokuridhisha Usiwaze tena kuhusu kunibadili mimi, nakuomba unipende kama nilivyo Naumiaa sanaaa eiii Nikiwazaaa jinsi unavyonipendaaaa Wengi walisema wewe uachane namii Uvumilivu wako umekufanya umebaki nami Nashangaa moyo wa ajabu uliokuwa nao Umeng'ang'ana kwenye penzi langu Japo unaumia sanaaa iyeiyeeee Nawazaaa jinsi ya kukueleza Nakosaaaa nguvu ya kukueleza Nashindwaa jinsi ya kusemaaaa Umejaribu kutetea penzi Mahala ambapo Hakuna penzi Nawazaaa, nikupe penzi gani kwa moyo wangu Nimebadilika, nimebadilika Sitokuridhisha Usiwaze tena kuhusu kunibadili mimi, nakuomba unipende kama nilivyo Vingi vyangu vimekuchosha Najuta fanya vitu nilifanya and am never going back Ni penzi la kutisha Umenipa nafasi you got me feeling so crazily in love with you Ni wazi boo you're out of this world Niko na four little words Your love is flowing like blood Na wewe ninaweza ku fly Feel like i can touch the sky And i can never deny yere Umeni tease till am feeling like ushu One and only You got me rolling Running after your love Like speeding Craving for that intimacy I think i like what i see I think i want you to be my one and only Umeniweka na kunipa cv Truly happy and free You got me feeling on fleek like Lex Adam's peace Where would I be ka ungesepa in flee Mi ningedanja for real and loose everything eey Umenijali penda counting for me Kwa drama zote you were always with me Like bae I got you
Writer(s): Meltus Mujwahuzi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out