Lyrics

Mwanzo wajue yangu hali, ata kwa miguu sina kiatu, nn'achampaliii hii Waambie wazazi wasijali, na vitumbo wapige sukuma ugaliii hii Ooooh na kukamua sikufunzwa nmezoea chai rangi Eeeeh sina njaro za kisuti, vibwanda za makuti, ndo rahisi kupata Nikaribishe tena usiogope Na uwe mjasiri mariamu Na siri yangu unitunzie Nikaribishe tena usiogope Kabla jogoo kuwika, ntakua nishafika Maana sina nauli, baiskeli tu. Ata kwa kuvaa, sijafunga mkanda mama Sababu ya kiu na njaa Na tena sina salio kwa simu, nikifika ntatuma please call me, usione zarau Ooooh na kukamua sikufunzwa nmezoea chai rangi Eeeeh sina njaro za kisuti, vibwanda za makuti, ndo rahisi kupata Nikaribishe tena usiogope Na uwe mjasiri mariamu Na siri yangu unitunzie Nikaribishe tena usiogope Nikaribishe kama mzigo flani, yenye mali za thamani ndani Waelezee unanipenda kwa sana usiponiona roho inasimama Nikaribishe kama mzigo flani, yenye mali za thamani ndani Waelezee unanipenda kwa sana usiponiona roho inasimama Natena wadanganye kwako mi ndo supu tamu, lisilohitaji hata kachumbari Twenze sare na tuwatoe hamu, walosema bila pesa mapenzi hatari Nikaribishe tena usiogope Na uwe mjasiri mariamu Na siri yangu unitunzie Nikaribishe tena usiogope Anaitwa kevin... Asante sana p
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out