Lyrics

Sawa na kisima safi Chenye maji mengi, mema, Ni upendo wa Mwokozi ukaao ndani yake Sawa na kisima safi Chenye maji mengi, mema, Ni upendo wa Mwokozi ukaao ndani yake Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni Ili niingie humo kwa neema yake kuu Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni Ili niingie humo kwa neema yake kuu Kama ndege awindavyo Mara nyingi niliumwa Moyo wangu ulilia Yesu hakunifukuza Ni ajabu kubwa kweli, alinisamehe yote! Juu ya rehema yake ninaimba kwa furaha Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni Ili niingie humo kwa neema yake kuu Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni Ili niingie humo kwa neema yake kuu Asubuhi ya uzima nitafika mlangoni; Kwa ajili ya upendo nitapata kuingia Asubuhi ya uzima nitafika mlangoni Kwa ajili ya upendo nitapata kuingia Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni Ili niingie humo kwa neema yake kuu Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni Ili niingie humo kwa neema yake kuu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni Ili niingie humo kwa neema yake kuu Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni Ili niingie humo kwa neema yake kuu Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni Ili niingie humo kwa neema yake kuu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out